Kanuni za kula, chakula huanzia mdomoni kushuka kuelekea tumboni, baadae huingia katka utumbo mdogo, kisha kupita kuelekea utumbo mkubwa na baadae kutolewa nje kama kinyesi, inachukua Kati ya masaa mawili had nane, kwa chakula kupitia mkondo wote huo ulotajwa kutegemea na aina ya chakula,
Tatzo la kufunga choo ( constipation ) hutokea iwapo utumbo mkubwa utashindwa kufanya kazi yake vizur,,!
Tatzo la kufunga choo ( constipation ) hutokea iwapo utumbo mkubwa utashindwa kufanya kazi yake vizur,,!
Chanzo kikubwa cha tatzo hili ni:-
Kula vyakula vilivyokobolewa,
Kula vyakula vilivyokaangizwa sana, kuto kunywa maji ya kutosha, ulaji wa nyama kwa kiasi kikubwa, utumiaji kwa wingi chai Au kahawa, Kula kuliko kiasi, yani Uroho ( ulafi ) Kula vyakula visivofaa,o kutokua na mda maalum wa chakula, utumiaji mbaya wa dawa za kuharisha, udhaifu wa misuli ya tumbo, kutokua na mazoezi ya kutosha,!

Dalili za tatzo la kuto pata choo:-
Kutoenda choo Mara kwa Mara japo Mara moja kwa cku,
Kutoenda choo Mara kwa Mara japo Mara moja kwa cku,
kutoa kinyesi kigumu wakati wa kujisaidia, ulimi kua na utando mweupe, harufu mbaya mdomoni, kukosa hamu ya Kula, kuumwa na kichwa kuhisi kizungu zungu, kuumwa na mgongo, kupatwa kiungulia kukosa usingizi,
Tiba ya tatzo kutopata choo itafanikiwa na kuendelea kudumu, iwapo utafuata kanuni Bora za kiafya na kubadilisha mfumo wa maisha yko yalingane na hitaji la Afya yako,
Tiba zifuatazo zinalenga kukusaidia kuondosha tatzo,
Kula mapera matatu makubwa pamoja na mbegu zake, mapera yana roughage ya kutosha kuhamasisha utendaji kazi ya utumbo mkubwa katka kusukuma kinyesi, tiba hii ni kwa cku Saba,,!
Kula papai kila cku asubuhi na jioni kwa mda wa cku Saba, papai hufanya kazi kama dawa za kuharisha,
Kula papai kila cku asubuhi na jioni kwa mda wa cku Saba, papai hufanya kazi kama dawa za kuharisha,
Chukua spinach kilo moja Au nusu saga weka kwenye maji Lita fanya juisi kunywa glasi moja asubuhi na jioni kwa cku Saba Au kumi,
Machungwa hufanya kazi kama dawa ya kuharisha, Kula machungwa matatu asubuhi kabla ya Kula kitu chochote, na machungwa matatu jioni, kwa mda cku Saba,
Chemsha maji yawe moto weka ndani ya glasi, chukua limao katakata upate vipande vidogo na mbegu zake weka ndani ya maji moto ucku mzima mpaka asubuhi, chuja kunywa kabla ya Kula chochote,!
Kama umependa somo hili Au unataka kujua kitu chochote, kuuliza karibu sana bwaruka herbal clinic, sm 0777717527 0713717527
0 Comments