Hijama ni sayansi ya kufyonza, kuvuta, kunyonya kutoka ndani ya mwili damu chafu, na vyote visivostahik Au visivotakiwa kuishi ndani ya mwili,
kinga za mwili huanza kufanya kazi kwa nguvu mpya na kasi kubwa ya Ajabu cku moja baada ya mtu kufanya tiba ya hijama,
Tiba hii imeshangaza watu wengi duniani kwa matokeo yake ya Ajabu kwa kutibu magonjwa yasiyoonekanwa kwa macho Au hata vipimo,
Yakiwemo magonjwa sugu na maumivu ya mwili,
Yakiwemo magonjwa sugu na maumivu ya mwili,
Unaeza kuitumia tiba hii ya hijama kama kinga ya Afya yako lakini pia kama tiba ya magonjwa mbalimbali yanayokuandama,
Hijama ni sehemu ya Sunna ya mtume wetu Muhammad salla-llaahu Alayhi-wasallam, pia ilifanyika Zama za nabii Ibrahim Alayhi-s-salam, kikubwa zaid ni tiba ya magonjwa yote kwa mujibu wa mafundisho ya Hadith za mtume wetu mtukufu nabii Ibrahim na musa. Alayhuma-s-salaam, waliifanya hijama, pia nabii Dawud na sulayman Alayhuma-s-salaam, waliifanya tiba hii , katka maandiko ya Zama za kale juu ya nabii Ibrahim na musa. Alayhuma-s-salaam. waliifanya tiba hii na waliirithisha tiba hii kwa watu wao. Nabii musa Alifanya hijama kwa haroun. Alayhuma-s-salaam. Hivo bac hijama ni miongoni mwa tiba mujarrabu na kubwa kabisa, kwa sababu imetumiwa na watukufu wa Daraja Ambao ni mitume na manabii
0 Comments