Bwaruka herbal clinic inatowa huduma hizi kwa wakazi wote wa Tanzania, yaani mikoani kote kwa njia ya mabasi. Hivyo gharama za usafiri muhusika atagharamikia, yaani gharama za usafiri kwa njia basi muhusika atalipa kutoka stendi ya huku hadi stendi uliyopo wewe, lakini Ofisi itakusaidia gharama za kusafirisha mzigo kutoka ofisini kwetu hadi ofisi ya basi. Malipo yanatakiwa kufanyika kabla mzigo haujafika kwani malipo hayo ndiyo ofisi itatumia kulipa katika ofisi ya mabasi. Malipo hayo yatafanyika kwa njia ya Tigo Pesa au {Zantel} ezypesa. Hivyo tunahimiza kututumia details za uthibitisho wa muamala wa malipo uliyofanya.


VITU VYA KUFANYA BAADA YA MALIPO.
1. Tuma majina yako matatu mfano {Jeremiah Benson Kashililika}
2. Tuma namba za simu mfano {0766147466}
3. Tuma uthibitisho wa muamala wa malipo ya pesa
4. Kisha wasiliana nasi ili kufanya uhakiki tayari kwa kupokea mzigo wako.
TUNAOMBA USHIRIKIANO WAKO HADI WAKATI UNAPO POKEA MZIGO WAKO. Ahsante.



Karibuni Bwaruka Herbal Clinic