Bwaruka Herbal Clinic ni wazalishaji wa dawa za asili na kisunna na dawa nyinginezo za kutibu magonjwa mbali mbali ya binadamu kwa upande wa wanawake na wanaume, pia tunazalisha dawa za magonjwa sugu. Hivyo magonjwa yote sugu na magonjwa ya kawaida kwa wapenzi wa dawa za kiasili na kisunna tunawakaribisha sana kwani dawa zetu ni nafuu sana kulingana na tatizo ulilonalo na nisalama kwa matumizi ya binadamu. Itakuwa vyema sana kama umeshapata ujumbe huu na ukaufikisha kwa ndugu, jamaa na marafiki ambao wanasumbuliwa na matatizo kama haya kwa mda mrefu. Asante.
0 Comments