Imepokewa katka Hadith mbalimbali kuwa mtume salla-llaahu Alayhi wa-sallam, Alifanya hijama pindi alipoumwa, na Alifanya hijama maeneo mbalimbali ya mwili kulingana na mahitaji yake alokuanayo kwa kipindi hicho,
Kwa mfano Alifanya hijama kichwani.sehemu ya juu ya mgongo wake. Katka shingo. Nyonga. Na miguu.mtume salla-llaahu Alayhi wa-sallam Amesema. Tiba Bora kabisa mlonayo ni hijama. ( Muslim 10, 3830 ) kuna Hadith nyingi sana zilizopokelewa na zinazoonyesha mtume salla-llaahu Alayhi wa sallam, Alifanya hijama na alipendelea kila mtu afanye tiba hii Adhiim kama kinga,
Na alifanyiwa hijama katka nyakati tofauti tofauti akiwa katka swaum na Ihram,