Kutibu kwa hijama Au chuku ( Kiswahili ) ni katka Aina za tiba zenye historia ya pekee na ni tiba ya zamani sana ambayo ilijulikanwa na mataifa mbalimbali duniani kote,,!
Tiba hii imeandikwa katka vitabu vikubwa vya wanahistoria wa misri kama tiba iliyotumika kwa muda mrefu sana
Misri kabla ya sayansi mambo Leo, ilitumika pia kutibu katka nchi mbalimbali za uarabuni katka kutbu, kukinga, na kusafisha damu Au mwili kwa ujumla wake, na kikubwa zaid ni kuwa tiba hii imehimizwa saana na mtume wetu kipenzi Muhammad salla-llaahu Alayhi wa sallam, ambae alitupa faida zake, akaithibitisha ubora wake na yeye mwenyewe alidumu na tiba hii na akatuhimiza ummah wake kuitumia tiba hii,,!

Hijama ilienea katka nchi za mashark na magharib kuanzia china, India, na ulaya, tiba hii imeingia katka nchi za Amerika katka karne ya 20, mpaka kufikia katikati mwa karne ya 19, ilikuwa imeshafanyiwa tafiti za kisayansi na kuthibitisha ubora wake, inasemekana hijama iliingia ulaya kupitia Tabib mmoja wa kiislaamu ambae Aliishi Andalusia katka Zama ambazo waisilaamu waliheshimika sana duniani katka sayansi ya tiba
0 Comments