MuzikTool Blogger

Header Ads

Shetani wa kijini anavomuingia binaadamu ndani ya mwili

Ukiambiwa shetani wa kijini hua anamuingia binaadamu ndani ya mwili kupitia kwenye matundu pengine usiamini, kwa sababu shetani ni kiumbe mwenye umbile kubwa kama binaadamu Au zaid ya hivo, Vp atamwingia na yeye ni kiumbe mkubwa,? Hata kama angekua na umbile lenye ukubwa kama kidumu cha Lita tano bad hayingii akilini maana bad maswali ya kujiuliza ni jinsi gani anavoweza kumwingia binaadamu yatabaki pale pale,,!
Ndugu zangu, hili linawezekana shetani wa kijini kumuingia binaadamu kupitia matundu ya mwili wa binaadamu, na kwenda kumuathir binaadamu huyo katika kiungo Au sehemu yoyote aipendayo,!
Bad utakua na alama kubwa ya kujiuliza hata kama huyo shetani awe na ukubwa wa jagi anawezaje kumuingia binaadamu na kumuathir,,? Tena na kutembea katika huo mwili kwa ndani yani kutoka tumboni kuja kichwani, Au kutoka kichwani kuja miguuni, Au akae kiunoni Au sehemu za sir yawezekana,?  Jibu ndio,, swahaba wa mtume ( s.a.w ) Abii Saidi ll, khudriyyi  ( R. a ) anasimulia kua, pindi anapopiga muayo mmoja wenu ajizibe kwa mkono wake kwani asipojiziba hakika shetani anaingia, ( Muslim )
Na katika Hadith nyingine    Anasema, hakika shetani anatembea katika mwili wa binaadamu kupitia mishipa ya damu, ( Ahmad na Muslim ) Hadith hizo mbili zimetufundisha namna ya uingiaji wa shetani na utembeaji wake katka mwili wa binaadamu, so alama ya kujiuliza anafanyaje itabak vile vile,,!
Ndugu yangu,!  shetani wa kijini ana uwezo wa kufanya hayo kutokana na sifa za kimaumbile alizonazo, ambazo zime sababishwa na malighaf walizoumbiwa nazo na Allaah mwingi wa Rehema, majini wameumbwa kwa moto kama Allaah alivyosema,,!
Na akawaumba majini kwa ulimi wa moto, ( ARrahman aya 15 )
Ndugu yangu tambua kua  kwavile majini wameumbwa kwa moto lazima watakua na sifa ambazo moto unazo,! Njoo tuangalie sifa zinazowasaidia kumwingia binaadamu kwa wepesi zaid,,!
Moto una safiri kwa njia takriban tatu,
1,  conduction, hii ni njia ya kuambukiza mfano wa chuma kikipata moto sehemu moja huo moto utakienea chuma chote bila kuuona ukitembea na   njia gani umepitia,,!
2, convection, hii ni njia ya kusafir moto kwa namna ya mvuke, mvuke ambao hauonekani na wala haushikiki ni sawa na upepo mfano wake,!
3, hii ni njia ya mionzi kama vile unavotumia tv Au radio kwa rimoti nayo ni namna ya moto unavyosafir Au tiba ya kansa kwa mionzi,,!
Kwa namna hii Jini ana sifa za kumuathir, mtu namna apendavyo, mfano akae kichwani na kuathir mwili mzima, Au kutumia mionzi kumwingia mtu na kumshambulia bila kuingia ndani ya mwili wa binaadamu, bali kumwelekezea mionzi tu na mtu Akaathirika kwa hiyo mionzi, Au hewa tu,!
Hivo ndivo shetani wa kijini anavomwingia binaadamu, Au jengine ni ule uwezo alopewa na Allaah, kubadili umbile na kua chochote apendacho,,!   
Tunamuomba Allaah atukinge na Shari za kiumbe huyu sisi na vizazi vyetu Aameen,
Kama umependa hii Au unaswali lolote unataka kujua tupigie sm no 0777717527- 0713717527 karibu sana,


Post a Comment

0 Comments