Kuumwa na kichwa upande mmoja Au kuhisi kichwa kizito kama umebeba mzigo,!
Kuumwa na kiuno Au mgongo kwa kuhisi uzito,
Kuumwa na tumbo chini ya kitofu, kuumwa na tumbo Au kiuno wakati wa hedhi, kutopata hedhi Au kuingia kwenye hedhi isiyo koma ( istihadhwa ). Moyo kwenda mbiyo na kushtuka bila sababu, kuumwa na kizunguzungu, kuhisi maumivu makali wakati wa tendo la ndoa Au kupata muasho kukosa hisia za tendo la ndoa,!

Kuota unaolewa-unaoa kuota unafanya tendo la ndoa, unamimba, unazaa, unanyonyesha,! Kuhisi unahamu sana ya tendo la ndoa hasa unapokua peke yko,!
Kua na hasira bila sababu za msingi, kuhisi mwili mzito kupita kiasi, kuharibika kwa mimba Mara kwa Mara, kuharibika kwa mipango ya maisha Mara kwa Mara,!
Kuharibika mipango ya ndoa Mara kwa Mara, maumivu makali ya miguu kuwaka moto ganzi, kuhisi kuna mtu nyuma yko Au mbele yako, kuhisi unaitwa so humuoni anaekuita,
Kupatwa na wasiwasi Au woga kuogopa kukaa Au kulala peke yko, kua na usingizini mwingi mzito kupita kiasi, kupata maumivu makali sehemu za mabegani na joto Kali, kuota ndoto za kufukuzwa na chui, simba, nyoka, ng'ombe na wanyama wote wakali,
Kuota unafukuzwa mpaka unapaa juu kama ndege Au kuingia shimoni,,! Kupenda saaana kufanya maasi
0 Comments