kisukar ni ugonjwa unaotokana na matatzo ya mfumo wa uyeyushaji wa chakula ndani ya mwili, 
Ukosefu Au upungufu wa kemikali inayoitwa insulin" husababisha ongezeko la sukari inayojionyesha kwa kiwango kikubwa katika mkojo wa muathirika,

Waathirika wengi wa kisukari ni wale wenye umri mkubwa ukilinganisha na wengine wenye umri mdogo ni wachache,

Mara nyingi tatzo hili huwapata watu wasiotumia kazi za nguvu, Au kuto fanya mazoezi, Au kuto kua na ratba maalumu ya chakula, na kupendelea sana vyakula vilivyotengenezwa na kuongezwa sukari, utumiaji wa vinywaji mbalimbali ambavyo vimeongezwa sukari,,! 


 DAWA YA KUTIBU KISUKARI TIBA YA ASILI

Kongosho, ambayo ni moja Au kiungo ndani ya mwili, kazi yake moja kubwa ni kuzalisha kemikali ( hormone ) ya ''insulin"  inayobadilisha sukari kua nguvu za mwili na sukari ya ziada kubadilishwa katika wanga  ( glycogen ) kwa ajili ya kuhifadhiwa mwilini kwa matumizi ya baadae,,!  

Dalili, kubwa za mtu mwenye kisukari ni:  kukojoa Mara kwa Mara, kujickia njaa wakati wote,  kuhisi kiu ya maji Mara kwa Mara, 
Kupungua uzito wa mwili,  
Kukojoa kitandani hasa watoto, 
Kuchoka na kupoteza nguvu za mwili n,k 

Bwaruka herbal clinic, wana tiba ya tatzo la kisukari Mujarrabu kabisa no 0777717527. 0713717527   karibuni sana,