Tatzo la kuashwa sehemu  za siri Au Fangasi kiujumla katka jamii zetu kuna watu wengi ambao wanasumbuliwa na tatzo la kuashwa sehemu za siri,,!   


Tatzo hili limethibitika kujikita sana kwa wanawake wa ege zote,  ingawa pia wanaume nao  ni waathirika wa tatzo hili,,! 


Tatzo hili huathir zaid sehemu za siri, vijidudu hawa hushambulia zaid sehemu za uke kuanzia ndani had nje,,! 


Aidha vijidudu hawa wana uwezo wa kushambulia hata maeneo mengine ya mwili kama vile katkati ya vidole vya mikono, kwenye kucha Au hata miguuni, kwapani, pamoja na njia yoyote ya hewa au chakula na mfano wake,,! 


Kwa upande wa wanaume, vijidudu hivi hushambulia sehemu za sir kwenye kichwa cha uume Au vinginevyo hasa kwa wale ambao hawajapata kutahiriwa yani kukatwa goz la uume kwa mbele,,!! 


Hushambuliwa zaid kwa sababu ya uwepo wa lile goz linalofunika kichwa cha uume, sehemu nyingine ni pembeni mwa mapaja Au katikati ya korodani,,! 


Dalili za tatzo hili ni,,! 


 Kuwashwa sana sehemu za siri kutokwa na majimaji sehemu za siri Au sehemu ambayo imeathirika na vijidudu,,! muwasho huongezeka zaid kadri muhusika anapokua na Hali ya umajimaji mfano jasho Au anavozid kujikuna, na hii husababishwa zaid kua vijidudu hawa hufurahishwa zaid Au kustawi katika mazingira ya majimaji,,! 


Maambukiz,,! 

Tatzo hili huambukizwa kwa njia ya kugusana baina ya mtu na mtu, Au kitu chochote chenye uambukizo mfano kufanya tendo la ndoa na mtu mwenye maambukizo, 

Njia nyingine ni kuchangia vyoo vya kukaa na mtu Au watu wenye maambukizo,! 


Njia nyingine ni kuvaa nguo moja zaid ya mtu mmoja hasa nguo za ndani, 

Njia nyingine ni kuvaa kushea viatu Au mfano wake,,! 


Tatzo hili linatibika,,! 


Tatzo hili linatibika ilaa so   kwa mda mfupi kama wafanyavyo baadh ya watu,  tiba ya tatzo hili huchukua mda mrefu Kati ya wiki 2 Au na zaid hutegemea na jinsi gani tatzo lilivyo,,!!  


Bwaruka herbal clinic,  imeandaa tiba ya tatzo hili sugu kwa gharama nafuu kabisa fika ujionee tofaut,,! 0777717527 0713717527 nyote mnakaribishwa,


Sponsored by puxcoder.cf for website, blog and graphics design Click here